WASANII WA BONGO MOVIE WAPIGA PICHA NA RAIS MAGUFULI LEO. - Rhevan Media

WASANII WA BONGO MOVIE WAPIGA PICHA NA RAIS MAGUFULI LEO.



Rais Magufuli mapema leo baada ya kuonana na wasanii wa filamu amewaambia walianza wote kumsaidia kwenye kampeni na watamaliza wote.Ameagiza mamlaka ya mapato kuanza mara moja kukamata kazi za wasanii zisizo na stika katika kupambana na mahalamia wa kazi hizo.Amesema kama waliweza kushika makontena hawatashindwa kuzikamata kazi hizo.
Previous
Next Post »