WANAFUNZI WAFUKUZWA SHULE KWA KUVAA YEBOYEBO. - Rhevan Media

WANAFUNZI WAFUKUZWA SHULE KWA KUVAA YEBOYEBO.

Embedded image permalink
Wanafunzi 21 wa shule ya msingi Kilambo wilayani Nkasi, wamefukuzwa shule kwa kuvaa viatu vya yeboyebo