
Walimu 3 wa shule ya Sekondari iliyopo Wilayani Musoma Mara, wakatwa na Mapanga sehemu mbalimbali za miili yao walipokuwa wakirejea shuleni. Wakizungumza wakiwa wamelazwa katika hospital ya Rufaa ya Musoma, walimu hao wamesema kuwa Vitendo vya Uhalifu jirani na Shule hiyo vimekuwa vikijitokeza mara kwa mara
Sign up here with your email