Baadhi ya watoto wanaoishi katika makazi ya dharura kijiji cha Kasanga wanapohifadhiwa waathirika wa mafuriko yaliyozikumba tarafa za Idodi na Pawaga, Iringa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Majaliwa alipotembelea kijiji hicho kuwapa pole wananchi leo
Sign up here with your email