
Mke wa Rais Janeth Magufuli akiongozana na mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni,Mwalimu Dorothy Mwalecela. Oysterbay, jijini Dar es salaam kabla ya kuanza kwa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi.toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Sign up here with your email