USHAURI WA KUKATA NA SHOKA WA RAIS MAGUFULI. - Rhevan Media

USHAURI WA KUKATA NA SHOKA WA RAIS MAGUFULI.



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjijTqkFaRVqL13SUT0CKwJY0dGsfWtb8IwCrsYWAf6Djzj2gISGpX1y7hgplso_D8kYBpPY0_X7hJ9YRnKxTIaWZEXCv_u82-gxb_SwpjK2dWLRZhn3CpuqHUbXZc_HFwdEKM25xK9KW65/s400/magufuli1.jpg


Mara nyingine Rais akitaka kulihutubia taifa aende pale NKRUMAH, aite vijana (bila kujali itikadi zao) kutoka shule za sekondari na Vyuo Vikuu afikishe ujumbe kwa taifa na awape vijana muda wa kumueleza changamoto zao. Utaratibu huu wa kuita wazee wa CCM wa DSM unapaswa kuboreshwa, wazee wana changamoto chache za maisha kuliko vijana. Rais maarufu, mtendaji, anayeaminiwa na ambaye yuko katika "kipindi cha mpito cha kuungwa mkono sana" kama JPM - hapaswi kuwa na hofu kuongea na vijana.
Previous
Next Post »