
Wabunge wanaotoka maeneo ya Reli wameunda Umoja wa Wabunge wa Reli ( Parliamentary Railways Caucus). Ezekiel Maige ndiye Mwenyekiti na mimi ndiye Katibu. Lengo ni kuhakikisha kuwa Reli inajengwa na kuunganisha Burundi ( Musongati) na Tanzania kwa kupitia Uvinza na mfumo mzima wa Reli kutoka Dar - Kigoma/Mwanza na matawi ya Manyoni - Singida, Kaliua - Mpanda - Karema, Isaka - Keza ( Ngara) , Pugu - Tanga/Moshi
Sign up here with your email