UKARIBU WA ZITTO KABWE NA MBOWE WAZUA MASWALI. - Rhevan Media

UKARIBU WA ZITTO KABWE NA MBOWE WAZUA MASWALI.

Zitto Kabwe na Freeman Mbowe waliwa bungeni.
Ukaribu wa mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe na kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo umezidi kuzua mashaka kuanzai jumanne iliyopita baada ya hoja wa mh Zitto kuhusu bunge kuoneshwa na TBC.Watu wamekua wakijiuliza mahasimu hao wa kisiasa uhusiano wa muda mfupi au mrefu.Ikimbukwe Zitto Kabwe alifukuzwa Chadema chini ya uongozi wa mh Mbowe.
Previous
Next Post »