SERENA WILLIAMS AZIDI KUNG'AA. - Rhevan Media

SERENA WILLIAMS AZIDI KUNG'AA.

Katika viwango vya tenesi duniani vilivyotolewa na chama cha tenesi cha wanawake WTA hapo jana Mjerumani Angelique Kerber amepanda kutoka nafasi ya 6 na sasa anashika namba 2 kwa ubora duniani , huku Serena Williams akiendelea kuwa namba 1. Kerber ameshika nafasi hiyo kwa mara ya kwanza kufuatia kufanya vizuri katika michuano ya Australian Open iliyomalizika wiki iliyopita ambapo alichukua kombe hilo kwa kumfunga Serena katika mchezo wa Fainali 

Previous
Next Post »