ROMY JONS AMKUMBUKA MDOGO WAKE DIAMOND PLATNUM. - Rhevan Media

ROMY JONS AMKUMBUKA MDOGO WAKE DIAMOND PLATNUM.


Baada ya tetesi za muda mrefu msanii Diamond Platnum kugombana na kaka yake Romy Jones ambaye naye pia alikuwa dj wake.Leo kaka yake huyo kupitia mtandao wa kijamii ameweka picha ya pamoja na dada yao Esma kuonesha bado ni familia.
Previous
Next Post »