REAL MADRID WAPITWA POINT NA FC BACELONA. - Rhevan Media

REAL MADRID WAPITWA POINT NA FC BACELONA.


 Baada ya kupoteza pointi 2 kwa kutoka sare dhidi ya Malaga - Real Madrid sasa wapo nyuma kwa pointi 9 nyuma ya watani wao FC Barcelona kwenye msimamo wa La Liga - Zikiwa zimebaki mechi 13 kabla ya msimu kumalizika.
Previous
Next Post »