RAIS MAGUFULI MBIONI KUNUNUA NDEGE. - Rhevan Media

RAIS MAGUFULI MBIONI KUNUNUA NDEGE.



Mh.Rais Magufuli,Tunampango wa kufufua shirika letu la ndege ndio maana tunafanya haya na kuwa wakali. Mh.Rais Magufuli Barabara za DSM, tumeshatenga kiasi cha Bil. 200 kujenga daraja kutoka Coco Beach hadi Aghakan kupitia baharini.Kama ndege 1 Airbus ni kama Bil. 140, na makusanyo yetu ni matrilioni kwanini tusitenge kila mwezi
Previous
Next Post »