RAIS MAGUFULI ATOA SIKU MBILI. - Rhevan Media

RAIS MAGUFULI ATOA SIKU MBILI.



Mh.Rais Magufuli,Haya majipu tutayatumbua kweli kweli,tunataka haya majipu yaishe na Tanzania iende mbele. Akina mama niliokuta wamelala chini wahamishiwe lile jengo lingine na liwekwe vitanda ndani ya siku 2.,Mh.Rais Magufuli,Nimetoa agizo jengo linalo tumika kama ofisi Muhimbili ndani ya siku mbili ihame mara moja
Previous
Next Post »