RAIS DR MAGUFULI ASEMA YEYE SIO KICHAA. - Rhevan Media

RAIS DR MAGUFULI ASEMA YEYE SIO KICHAA.


"..Nimeamua nchi iende,na itakwenda.Yule anayefikiri anaweza kukwamisha, atakwama yeye. Mimi sio kichaa wala mimi sio dikteta inafika mahali inabidi ufunge macho ufanye maamuzi kutokana na watendaji wa serikali wanavyoiharibu nchi, Sadaka yangu kwa watanzania ni kuwatumikia vyema.." Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli #SasaKaziTu, tunajenga Chama na tunajenga Nchi.
Previous
Next Post »