NAIBU WAZIRI WA AFYA AKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO. - Rhevan Media

NAIBU WAZIRI WA AFYA AKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO.



Naibu waziri wa afya akiwa mkoani Iringa Hamisi Kigwangala na mkuu wa wilaya hiyo Mh Kaselele.Wakikagua athari za mafuriko yaliyotokea kijiji cha Kisiga Pagawa.Baadhi ya shule za msingi katika eneo hilo zimeanza kufungwa kutokana na mlipuko ugonjwa wa Kipindupindu,
Previous
Next Post »