
Naibu Waziri wa Afya, Dk Hamisi Kigwangalla akipatiwa maelezo namna ya mfuko wa malipo wa ki-elektroniki unaotumiwa unaotumiwa hospitalini hapo na Kaimu Mkurugenzi, Thomas Isidori. Hospiatli hiyo inatumia mfumo huo .ambapo imeweza kufanikiwa katika ukusanyaji wake wa mapato.
Sign up here with your email