![]() |
Akina mama wenye watoto wadogo mtoto wa wiki moja na miezi miwili kuondoka katika eneo la marufiko kwa chopa eneo la marufiko katika mashamba ya Nyalu lililopo wilaya ya Iringa Mjini.
![]() Rubani wa ndege ya Jeshi la Polisi, Flora Focas akimwokoa mama mjamzito na kumuingiza katika chopa iliyompeleka Naibu Waziri wa Afya, Hamisi Kigwangalla ambaye aliamuru chopa hiyo imchuke mama huyo ili kuokoa miasha yake. |
Sign up here with your email