MSANII WA BONGO MOVIE AAMUA KUOLEWA NA SERENGETI BOY. - Rhevan Media

MSANII WA BONGO MOVIE AAMUA KUOLEWA NA SERENGETI BOY.


Msanii Riyamaa Ally ametolewa mahali na  msanii wa bongo fleva Leo Mysterio na wanatarajiwa kufunga ndoa hivi karibuni.Riyamaa msanii wa kike asiye na scandal kama ilivyo ada ya wasanii wa tasnia hiyo.
Previous
Next Post »