MSANII PROFESA JAY AHUDHURIA KIKAO LEO. Unknown 14:06:00 Unknown Vikao vya kamati maalum za bunge vimeanza leo huku msanii wa bongo fleva na mbunge Josep Haule akiwa kwenye kamati UWEKEZAJI WA MITAJI YA UMMA ( PIC ) .Pichani akiwa kwenye kikao cha kamati hiyo. Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email