
NeY wa Mitego amesema kupitia Clouds TV kwamba Mali anazomiliki na fedha bank thamani yake ni zaidi ya billion moja.Huku akimponda mshindi wa big brother Idris Sultan hana utajiri wa bilioni mbili kama alivyodai siku za nyuma.
Sign up here with your email