MKUU WA WILAYA PAUL MAKONDA AWASHUKURU WADAU. - Rhevan Media

MKUU WA WILAYA PAUL MAKONDA AWASHUKURU WADAU.


Napenda kumshukuru sana Baba Askofu Malasusa kwa kunichangia mifuko 500 ya cement, Pia namshukuru sana Mhe Abdallah Bulembo mwenyekiti wa wazazi ccm Taifa kwa support ya mifuko 500 ya cement na mwisho si kwa Umuhimu bali kwa upande ni kampuni ya The Duma Group kwa mifuko 640 ya cement. Naowaombea kwa Mungu awape mara dufu kwani kitendo hiki ni kitendo cha kiungwana mmetuvisha nguo wanakinondoni. Nawe mtanzania mwenzangu kama unamchango wowote bado nakukaribisha. Paul Makonda DC Kinondoni

Previous
Next Post »