
Mke wa waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda, mama Tunu Pinda amepata ajali akitokea mkoani Dodoma baada ya gari aliyokuwa akisafiria kujaribu kumkwepa mwendesha pikipiki na kupinduka na kusababisha kifo cha mwendesha pikipiki papo hapo katika eneo la Mkundi, barabara kuu ya Morogoro Dodoma.


Sign up here with your email