
Baada ya tetesi za mimba ya Wema Sepetu kutoka,Mashabiki wamgeukia Ney wa Mitego nakumtukana.Sababu ikiwa ni nyimbo ya shika adabu yako ambayo Ney alimwambia msanii Wema anatafuta kick za mjini hana mimba.Mashabiki wanaamini msanii huyo kaleta gundu kwenye mimba hiyo.
Sign up here with your email