
Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete akitoa neno la shukrani kwa Mohamed Dewji Foundation mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi millioni 100 kwa ajili ya ufugaji wa kuku wa kienyeji Chotara wa mradi kijiji cha Msoga mkoani Pwani
Sign up here with your email