
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe Mahadhi Juma Maalim ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Februari 15, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Dressed In Sheria Ngowi Jacket from Black Label. Asante sana Mh. Majaliwa

Baadhi ya viongozi wanaoveshwa na mwanamitindo huyo ni Zitto Kabwe na Paul Makonda.
Sign up here with your email