Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma (CCM), amesema haoni sababu ya Serikali kuzuia bangi kuwa zao la biashara kwa maana haoni madhara yake huku akikazia kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi.
Sign up here with your email