MEYA AKATAA GARI LA MILIONI 150. - Rhevan Media

MEYA AKATAA GARI LA MILIONI 150.


Meya wa Manispaa ya Kigoma Ujiji Hussein J Ruhava amekataa kununuliwa gari ya tshs 150m na kuelekeza fedha hizo kwenda kwenye matumizi ya maendeleo na haswa miundombinu ya mji
Previous
Next Post »