MCHEZAJI WA CHELSEA ZOUMA NJE YA UWANJA MIEZI 6. - Rhevan Media

MCHEZAJI WA CHELSEA ZOUMA NJE YA UWANJA MIEZI 6.









ZOUMA NJE YA UWANJA MIEZI 6 Beki wa klabu ya Chelsea Kurt Zouma anataraji kukaa nje uwanja kwa muda wa miezi 6 akiuguza majeraha ya goti lake la kulia aliyoyapata katika mechi ya jana dhidi Manchester United Zouma,21, amefanyiwa vipimo leo na kugundulika amepata majeraha katika mfupa wa ndani wa goti lake "Anterior Cruciate Ligament Injury". Hivyo mfaransa huyo ambaye ameichezea Chelsea mechi 32 msimu huu anataraji kufanyiwa upasuaji wa goti lake wiki hii

Previous
Next Post »