MCHEZAJI AMPIGA MWANDISHI WA HABARI. - Rhevan Media

MCHEZAJI AMPIGA MWANDISHI WA HABARI.



Mwinyi Kazimoto

Jukwaa la wahariri TEF lalaani kupigwa kwa mwandishi wa michezo gazeti la mwananchi Mwanaiba Richard.Mwandishi huyo alipigwa na mchezaji wa Simba mkoani Shinyanga jumatano hii.Mwinyi Kazimoto alidai amempiga mwandishi huyo kisa aliwahi kumwandika vibaya siku za nyuma.TFF nayo pia imelaani kitendo hicho.
Previous
Next Post »