MBUNGE ESTER BULAYA AZIDI KUTAMBA MBELE STEVEN WASSIRA. - Rhevan Media

MBUNGE ESTER BULAYA AZIDI KUTAMBA MBELE STEVEN WASSIRA.


Mbunge wa Bunda Mjini,Esther Bulaya (Chadema), ametamba kuendelea kumshinda mpinzani wake, Stephen Wasira (CCM), kwa madai kwamba alipata ubunge huo kihalali. Bulaya alisema hayo ikiwa ni siku moja tangu kutupwa kwa rufaa ya wanachama wa CCM waliokuwa wakipinga ushindi wa mbunge huyo alioupata katika Uchaguzi Mkuu.
Previous
Next Post »