
HAPPY BIRTHDAY PIQUE AND SHAKIRA Anaitwa Gerard Pique, ni beki wa kati wa klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Hispania Leo anasheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na mke wake Shakira Isabel. Wawili hawa wamezaliwa siku moja lakini miaka tofauti, Pique amezaliwa Februari 2,1987 hivyo leo ametimiza miaka 29 wakati Shakira amezaliwa Februari,2,1977 hivyo leo ametimiza miaka 39. Pique na Shakira walianza mahusiano mwaka 2010 walipokutana katika utengenezaji wa video ya wimbo rasmi wa kombe la dunia ulioitwa Waka Waka (This Time for Africa). Jan,22,2013 wawili hao walipata mtoto wao wa kwanza,ambaye ni wa kiume,Milan Pique i Mebarak Jan,29,2015 wakapata mtoto wa wa pili ambaye nae ni wa kiume,Sasha Pique i Mebarak. Happy 29th Birthday Gerard Pique Happy 39th Birthday Shakira Isabel Pique
Sign up here with your email