MAREHEMU STAR WA BONGO MOVIE AENDELEA KUNG'AA. - Rhevan Media

MAREHEMU STAR WA BONGO MOVIE AENDELEA KUNG'AA.



Marehemu Steven Kanumba aliyefariki mwaka 2012 lakini bado watu wanamapenzi nae ya dhati.Picha ikiwa imewekwa kwenye usafiri wa basi kumuenzi star huyo anayesemekana amekufa na bongo movie yake sababu haiuzi tena kama zamani wakati yupo.
Previous
Next Post »