
Mh Lazaro Nyarandu mbunge wa Singida kusini na aliyekuwa waziri wa mali asili na utalii na kutangaza nia yakugombea urais,Akiwa na mke wake Faraja Nyarandu mrembo toka kwenye shindano la miss Tanzania pamoja na watoto wao ikiwa ni siku special ya wapendanao.Moments. Happy Valentine's day! May it be well with you and the loved ones
Sign up here with your email