KIPYA KUTOKA KWA RAPA TI. - Rhevan Media

KIPYA KUTOKA KWA RAPA TI.


Katika tamasha la Tidal lililofanyika jumatatu usiku mjini ATL, T.I alitangaza kusaini na Roc Nation kwa ajili ya usambazaji wa kazi zake. Pia mkali huyu wa kaskazini, akaingia kwenye orodha ya watu wenye share katika mtandao wa Tidal.

Previous
Next Post »