KAMISHINA WA POLISI AFUKUZWA KAZI INDIA KISA MTANZANIA - Rhevan Media

KAMISHINA WA POLISI AFUKUZWA KAZI INDIA KISA MTANZANIA




Kamishna Msaidizi wa Polisi wa Jimbo la Yeshwanthapura, Ashok Narayan Pise amesimamishwa kazi kwa kushindwa kutembelea eneo ambako mwanafunzi wa Kitanzania anayesoma Chuo Kikuu cha Acharya alipigwa, kisha kuvuliwa nguo na kulazimishwa kutembea akiwa uchi.

Kamishna huyo alisimamishwa kwa kudharau taarifa zilizotolewa na wanafunzi hao ikiwamo maelezo yao na taarifa ya hospitali.
Previous
Next Post »