
Waziri wa Elimu Prof Ndalichako asitisha mkataba wa Mkurugenzi wa bodi ya mikopo na wengine wa 4 kwa utendaji mbovu
:Waziri wa Elimu Prof Ndalichako Amewateua wafuatao ku Kaimu nafasi Bodi ya Mikopo Nchini Kwanzia Leo
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji mteule ni Bw.Jerry Sabi kutoka Mzumbe University na Kaimu Mhasibu Mkuu mteule ni Bw. Daniel Mafie kutoka NECTA
Sign up here with your email