
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Kigwangalla amefanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Rufaa Morogoro Ametoa siku 60 vifaa ndani ya chumba cha upasuaji viwe vimerekebishwa Ameutaka uongozi wa Hospitali hiyo kushughulikia mara moja mapungufu yaliyobanika katika jengo la kuhudumia wagonjwa wa daraja la kwanza, Dk. Kigwangalla alikuta hali ya uchafu na muonekano usiofaa kwa matumizi ya kuitwa daraja la kwanza.
Sign up here with your email