HII NDIO SERIKALI YA UTUMBUAJI MAJIPU. - Rhevan Media

HII NDIO SERIKALI YA UTUMBUAJI MAJIPU.



Rais Dr John Magufuli amewataka watu waliotelekeza mashamba na viwanda walivyouziwa na serikali Wahakikishe Wanavifufua Haraka iwezekanavyo kabla serikali haijavinyang'anya na kugawia wanaoweza kuviendesha

Previous
Next Post »