
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ame tangaza kuwa chama chake hakitashiriki uchaguzi wa marudio wa Zanzibar.
Aidha, serikali ya Rais Magufuli bado haijaanza kujishughulisha na kubadili mifumo iliyoasisi rushwa na ufisadi kubadili mikataba ya kinyonyaji ya raslimali, kufuta posho za makalio (sitting allowances) katika mfumo wa utumishi wa umma ikiwemo Bunge;
Sign up here with your email
