CHAMA CHA CUF CHAICHIMBA BITI TUME YA UCHAGUZI. - Rhevan Media

CHAMA CHA CUF CHAICHIMBA BITI TUME YA UCHAGUZI.



Chama kikuu cha upinzani Zanzibar CUF, kimeitaka Tume ya Uchaguzi visiwani humo ZEC kuondoa na kutotumia karatasi za kupigia kura zenye kuonesha jina la mgombea wake wa urais pamoja na baraza la wawakilishi kwa lengo la kugomea uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Machi 20 visiwani humo
Previous
Next Post »