
Mamlaka ya Bandari nchini Kenya itakagua mali za maofisa wake wote. Watakaobainika kuwa na mali zisizo halali watachukuliwa hatua. Mkurugenzi Mkuu amesema ukaguzi huo utapitia kwa makini mali za mameneja wa vitengo tofauti
Sign up here with your email
