BADO SIKU TANO SIMBA NA YANGA KUTIFUANA. - Rhevan Media

BADO SIKU TANO SIMBA NA YANGA KUTIFUANA.



Zikiwa zimebaki takribani siku 5 kabla ya mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga - vilabu hivyo vimeendelea na maandalizi huku kila timu ikitapa kumtandika mwenzie. Vilabu vyote vimeweka kambi nje ya jiji la Dar kujiandaa na mchezo. Unadhani Simba iliyo kwenye on form itaweza kulipiza kisasi dhidi ya watani wao wikiendi hii na kuendelea kuongoza ligi? 
Previous
Next Post »