AGIZO LA RAIS MAGUFULI LATEKELEZWA MARA MOJA. - Rhevan Media

AGIZO LA RAIS MAGUFULI LATEKELEZWA MARA MOJA.


Agizo la Rais la jana limeanza kutekelezwa leo... Watumishi Muhimbili wameanza kuhamia Wizara ya Afya kupisha wagonjwa wanaolala chini. Agizo hilo lilitolewa mapema jana wakati wa hotuba yake kwa wazee wa mji wa Dar es Salaam,

Previous
Next Post »