
Waziri wa Fedha Dr Philip Mpango leo amekabidhi mfano wa hundi ya shilingi Bilioni 12.3 kwa wizara ya sheria na mambo ya katiba kwa ajili ya kuharakisha kesi za masuala ya kodi zilizopo mahakamani, ikiwa serikali itashinda kesi hizo takribani 442 itapata zaidi ya Trilioni moja. Raisi aliahidi pesa hizo zikipatikana atawapa mhimili wa mahakama takribani shilingi Bilioni 200, na zitakazobaki atanunua ndege za serikali, kwa mujibu wa raisi, ndege moja aina ya Airbus inauzwa shilingi Bilioni 148.
Sign up here with your email