WAZIRI ATOA TAMKO ZITO. - Rhevan Media

WAZIRI ATOA TAMKO ZITO.




Ubia wa TTCL na Bharti Airtel kufikia kikomo mwisho wa mwezi huu. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof Makame Mbarawa ametangaza uamuzi huu wa serikali. TTCL kurejea kuwa mali ya Umma kwa 100%.
Previous
Next Post »