NAPE AITAKA CHADEMA KUMTIMU EDWARD LOWASA. - Rhevan Media

NAPE AITAKA CHADEMA KUMTIMU EDWARD LOWASA.

Chama cha mapinduzi kupitia msemaji wake mh Nape Nnauye amekitakata chama hicho kumfukuza aliyekuwa mgombea urais wa chama hicho Edward Lowasa.Sababu ikiwa mgombea huyo ni fisadi kauli hiyo ameitoa baada ya mwanasheria wa Chadema kudai Mh Magufuli hawezi kuumaliza ufisadi kutokana na chama chake kinamfumo mbovu wa kuwalea mafisadi.
Previous
Next Post »