Mh Joshua Nassari mbunge wa Arumeru Mashariki kwan tiketi ya chama cha Chadema,Ametumia kiasi cha shilingi milioni 45 kuwa nunulia wananchi wake vifaa vya hospitali.Fedha hizo chanzo chake ni mkopo wa milioni 90 kwa waheshimiwa wabunge kununua magari ya kifahari ya kutembelea.Ameweka rekodi kati ya wabunge wachache walio tumia fedha hizo kuwarudishia wananchi walio wapigia kura.Akiwemo mbunge wa Musoma vijijini aliejitolea fedha hizo kununua vifaa vya shule.
Picha mbunge huyo akiwa nchini China kwa manunuzi ya vifaa hivyo.
Sign up here with your email