BAADHI YA VYUO VIKUU KUFUNGIWA. - Rhevan Media

BAADHI YA VYUO VIKUU KUFUNGIWA.

Serikali imesema ina mpango wa kukagua vyuo vikuu vyote nchini na vile ambavyo vitakuwa havina sifa itavifunga bila kusita .Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako amesema vyuo vingi havina sifa licha ya vyuo hivyo kupewa miongozo.Ingawa baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakilalamikia TCU kuwateuwa wanafunzi kwenye vyuo hivyo wengine wakiwa wamesoma miaka kadhaa kisha vyuo kufungiwa.
Previous
Next Post »