UCHAGUZI WA MEYA JIJINI DAR WATUA MAHAKAMANI. - Rhevan Media

UCHAGUZI WA MEYA JIJINI DAR WATUA MAHAKAMANI.




CCM imekimbilia Mahakamani kuweka zuio la uchaguzi wa Mayor jiji la Dar kesho. Mahakama imetupilia mbali ombi lao na kuagiza uchaguzi ufanyike kama ulivyopangwa.
Previous
Next Post »