Vuta nikuvute yaanza bungeni, Jesca Kishoa amtuhumu waziri Mwakyembe kwenye sakata la mabehewa, Mwakyembe aja juu, amtaka Jesca athibitishe tuhuma dhidi yake za kinachodaiwa ni ufisadi wa mabehewa, Mwakyembe asema Jesca akileta ushahidi wa kinachoitwa ufisadi kwenye Mabehewa atajiuzuru ubunge, tusubiri ushahidi.
Sign up here with your email